ZA UKWELI SANA

ZARI, DIAMOND MAANDALIZI YALIANZA WAKIWA USINGIZINI!!!! WALIAMKA KAMA YANGEYANGE..!!!!

Diamond na Zari wakiandaliwa Chumbani


Maandalizi ya party ya Zari “All Whitie Ciroc Pary” yalianza kwa majikwatuo ya nguvu yaliyofanyika humohumo chumbani wawili hao walipojipumzisha huku wakihudumiwa na akina dada wa nguvu wenye taaluma zao. Usishangae kwanini wote waling’aa kama yangeyange (isipokuwa nywele za Diamond) ndio maana ya “All White” Endelea kuangalia picha MARA YA1 …,MARA YA 2… MARA YA 3 …. MARA YA 4 …. MARA YA 5

USIACHE KUSOMA "SALIM KIKEKE ASIKITISHWA KUDHALILISHWA MTANDAONI"

0 Response to "ZARI, DIAMOND MAANDALIZI YALIANZA WAKIWA USINGIZINI!!!! WALIAMKA KAMA YANGEYANGE..!!!!"

Post a Comment