ZA UKWELI SANA

MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI JAJI FREDERICK WEREMA AJIUZULU

Jaji Werema ajiuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema (pichani) leo amejiuzulu nafasi yake na tayari amemwandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete.
Rais Kikwete asema amepokea barua yake na kumshukuru kwa ushirikiano aliouonyesha katika kipindi cha utumishi wake.
Sababu ya kujiuzulu ni kwamba ushauri alioutoa kuhusu Akaunti ya Tegeta Escrow haukueleweka vizuri.

0 Response to "MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI JAJI FREDERICK WEREMA AJIUZULU"

Post a Comment