Wema Sepetu kizimbani |
MIKOSI TU. Kesi namba KJN/RB/11250/2014 na KJN/RB/11220/2014 SHAMBULIO LA KUDHURU MWILI inawahusu Wema Sepetu na Petit Man ambao watakuwa kizimbani leo, kujibu mashtaka yanayowakabili ya kuwasulubu kwa kipigo cha mbwa mwizi vijana wawili.
Sababu ya kipigo hicho ni baada ya kuwashuku vijana hao kuwa walimwibia mpambe wa Wema, Petit man simu yake.
Hii si mara ya kwanza kwa mdada huyo aliyeanza kupoteza umaarufu kupandishwa kizimbani.
USIIACHE...'BAADA YA DIAMOND KUMFANYIA ZARI MAKUBWA ZARI AAMUA KULIPA FADHILA...' INGIA HAPA...
USIIACHE...'BAADA YA DIAMOND KUMFANYIA ZARI MAKUBWA ZARI AAMUA KULIPA FADHILA...' INGIA HAPA...
0 Response to "WEMA SASA LA KUVUNDA... ABURUZWA MAHAKAMANI.... DUH WASANII WADAIWA KUISHA VIBAYA...!!!!"
Post a Comment