ZA UKWELI SANA

FAGIO SAFISHA WIZARA!!!! WENGINE WAONDOLEWA WIZARA ZAO WENGINE...

Mabadiliko makubwa serikalini

JUU... Walioondolewa kwenye wizara zao za awali na kuhamishwa ni pamoja na Lazaro Nyalandu ambaye anarudi mazingira. Saada Mkuya Salum kutoka fedha na kuhamishiwa ikulu pamoja na Gaudensia Kabaka.Hayo ni baadhi ya majina niliyopata.
Aidha rais Kikwete amewaondoa baadhi ya mawaziri katika baraza lake kutokana na uwajibikaji hafifu ambao ni 
Chiza Christophera-kilimo, Maghembe Jumanne-maji, Hawa Ghasia-tamisemi na Mathias Chikawe-utumishi
Kikwete pia amewaingiza wengine wapya kwenye baraza la mawaziri ambao ni INGIA HAPA

0 Response to "FAGIO SAFISHA WIZARA!!!! WENGINE WAONDOLEWA WIZARA ZAO WENGINE... "

Post a Comment