Mwili wa mtoto uliookotwa baada ya siku 15 haujaharibika |
NI KISA CHA HUZUNI CHENYE KUSTAAJABISHA PIA.... MTOTO wa miaka sita, Bernard Benjamin ambaye alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamunge, wilayani Ilemela jijini Mwanza, amesombwa na mafuriko na mwili wake kukaa siku kumi na tano bila kuharibika.
INGIA HAPA KUPATA KISA KIZIMA CHA KUHUZUNISHA
0 Response to "MAAJABU: BAADA YA KUKAA SIKU 15 MAJINI MWILI WA MTOTO WAOKOTWA MZIMA!!!!!"
Post a Comment