Pichani ni Raphael Tenthani, mwakilishi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) nchini Malawi. |
Huwezi kuamini pale utakapokutana Mtangazaji wa BBC nchini Malawi Ralphael "Ralph" Tenthani kwani ni rafu kwelikweli kupitiliza... yaani ni F F F tu katika staili za uvaaji wake hata kama ni kwenye Red carpet. KWA NINI? ... tazama picha 1...picha 2.....
Wengi wanasema huenda anafanya hivyo ili kutimiza masharti ya 'mganga' aliyemsaidia kupata ujasiri, akili nyingi na kazi katika shirika kubwa la utangazaji la BBC. Wanadai ikiwa atakiuka masharti hayo, huenda akapoteza kazi yake na kuwa 'juha'.
Vyovyote viwavyo, Raphael "Ralph" Tenthani bado ni mwakilishi wa BBC nchini Malawi
0 Response to "AMINI USIAMINI HUYU NI RIPOTA WA BBC AMBAYE MUDA WOTE WA KAZI YUKO RAFU!!! LAKINI ANA SIRI NZITO....!!!!"
Post a Comment