Mabadiliko makubwa serikalini |
JUU.. Pia wapo waliopanda cheo kuwa mawaziri kamili ambao ni Simbachawene George, Mwanri, Godfrey Zambi, Mwigulu Nchemba, January Makamba na Greyson Lwenge. Hawa taarifa kamili ya wizara watakazohudumia tutawaletea.
Inasemekana kuwa Kikwete amepangua na kulipanga upya baraza lake kwa kiasi kikubwa kuliko ilivyotarajiwa.
Kuhusu Mwanasheria mkuu INGIA HAPA
0 Response to "ESCROW YAWAPA MANAIBU WAZIRI UWAZIRI KAMILI.... FULU STORI HAPA..."
Post a Comment