Rose Muhando adaiwa kususia mazishi ya dadake |
Rose Mwimbaji maarufu wa nyimbo za lnjili Bongo, Rose Muhando ameshindwa kuhudhuria mazishi ya dada yake wa damu, jambo lililowakera baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki.
Ishu hiyo ilijiri wikiendi iliyopita nyumbani kwa wazazi wa staa huyo katika Kijiji cha Magole, Dumila wilayani Kilosa mkoani Morogoro ambapo dada wa tumbo moja (toka, nitoke) wa Rose aitwaye Shida Athuman Muhando alifariki dunia ghafla.
Taarifa zilipomfikia Rose.... ENDELEA HAPA
0 Response to "ROSE MUHANDO ASHINDWA KUMZIKA DADAKE!! SASA HUYU NI WA PILI!!!"
Post a Comment