ZA UKWELI SANA

HAUSIGELI MTESAJI AHUKUMIWA NCHINI UGANDA!!!! AANGUKA MBELE YA JAMII!!!!

Jolly Tumuhirwe ahukumiwa jela miaka 4
HAUSIGELI aliyenaswa kwenye video akimtesa mtoto nchini Uganda, amehukumiwa kwenda jela miaka minne katika mahakama moja nchini humo.
Mfanyakazi huyo Jolly Tumuhirwe (22) aliiambia mahakama kuwa anajutia kile alichokifanya na anaomba msamaha kwa familia na jamii nzima.
Amehukumiwa kwa kosa la kumtesa mtoto Arnella mwenye miezi 18.

0 Response to "HAUSIGELI MTESAJI AHUKUMIWA NCHINI UGANDA!!!! AANGUKA MBELE YA JAMII!!!!"

Post a Comment