Nabii Yaspi Bendera wa Kanisa la The Revelation Church akiwasalimiana na Dk. Mpanda na ndugu yake |
Inasikitisha sana! Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kaskazini mkoani Lindi kwa ‘leseni’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kati ya mwaka 2005 hadi 2010, Dk. Samson Mpanda, amesimulia jinsi alivyopata upofu akiwa kwenye nafasi yake ya ubunge, mwaka mmoja tu baada ya kuchaguliwa na kuanza kuhudhuria vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.
MORE HERE
Dk Mpanda alisimulia mkasa huo wa kuumiza mbele ya waumini wa Kanisa la The Revelation Church chini ya Nabii Yaspi Bendera lililopo Buza-Kipera jijini Dar anakokesha kwa ajili ya maombezi.
MORE HERE
source: global publisher
0 Response to "INATISHA!!!! APATA UBUNGE NA UPOFU WA MACHO!!! SASA SPIKA WAKE NI NABII YASPI!!!!"
Post a Comment