Rais Kikwete na Nasib Abdul "Diamond" |
Haya sasa
lisemwalo likichelewa ni dakika sifuri….Kijana wetu anayetamba kimataifa sasa
katika muziki Nasib Abdul ‘Diamond Platinumz’ siku moja tu baada ya kutia mguu
ikulu naye ametamani kuwa humo!!!!!!!!!!! Lol!!!!!!!!
Kutimiza azma
hiyo, kijana huyo asiyekata tamaa sasa kuchukua fomu za ubunge (jimbo kapuni)
mwaka 2015, yaani mwaka unaoingia wiki ijayo!!! …. Sababu bado nyingine zimo
humu ….YA KWANZA…. YA PILI…
. YA TATU…. YA NNE…. YA TANO…
…
SASA JIANDAENI
KUWA NA NEW FIRST LADY KILA MWEZI!!!!!
0 Response to "KUMEKUCHAAA!!!!... SIKU MOJA BAADA YA KUTIA MGUU IKULU.... DIAMOND APAFUKUZIA!!!!! ONA ...."
Post a Comment