ZA UKWELI SANA

TALIBAN WACHAKAZA.... WAFANYA MAANGAMIZI YA KUTISHA....WAUA WATU 126!!!!!

Taliban wauwa watu 126
TAKRIBANI watu 126 wameuawa, wakiwemo wanafunzi zaidi ya 100, baada ya wapiganaji sita wa Kundi la Taliban waliokuwa wamejihami kwa silaha kuvamia shule moja inayomilikiwa na jeshi jijini Peshawar nchini Pakistani na kupiga risasi hovyo na kujilipua kwa marabou.
Shambulio hilo lilianza kwa wapganaji hao kuingia katika shule yenye wanafunzi 500 ambao ni wa grade 1-10 wanaodhaniwa kuwa na umri kati ya miaka 5-14 mapema leo na kuanza kuwapiga risasi hovyo kwa kuingia darasa moja baada la lingine.

0 Response to "TALIBAN WACHAKAZA.... WAFANYA MAANGAMIZI YA KUTISHA....WAUA WATU 126!!!!!"

Post a Comment