ZA UKWELI SANA

CHAGUZI NDOGO: HILI KAMA SI LAKO UTAONA DAMU HAIJAMWAGIKA..... LAKINI,,, WENGI WAMEUAWA!!!



Simo Isaka ajeruhiwa vibaya

CHAGUZI ndogondogo za serikali za mitaa zinazoendela nzima zimesababisha majanga makubwa ikiwemo mauaji ya raia na viongozi!!! .... TAZAMA PICHA HII... Inasikitisha na inauma sana kuona watanzania tunakosa uvumilivu katika vitu muhimu kwa ajili ya maendeleo yetu.

MATUKIO NA ZAIDI YA KUTISHA YAMEENDELEA KUTUFIKIA. WATU WENGI AIDHA WAMEKUFA AU WAMEKATWA VIUNGO. ONA HAPA:
CHAGUZI BALAA.... MGOMBEA UENYEKITI AFA  GHAFLA MUDA MFUPI BAADA YA KUPIGA KURA!!!!!!! 


0 Response to "CHAGUZI NDOGO: HILI KAMA SI LAKO UTAONA DAMU HAIJAMWAGIKA..... LAKINI,,, WENGI WAMEUAWA!!!"

Post a Comment