ZA UKWELI SANA

LOOOH!! ALIYETUPA MTOTO NJE YA BASI LILILOKUWA KASI NI PEPO!!!!

 
mama amtupa mtoto nje ya basi na kumuua
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka Sita amefariki dunia baada ya kutupwa na bibi yake nje ya basi kupitia dirishani wakati basi likiwa katika mwendo wa kasi mkoani Singida.


Akieleza jinsi alivyomtupa mjukuu wake, Lawaridi Saidi  ambaye ni mkazi wa  Kongowe jijini Dar amesema baada ya kuamka akiwa katika hali ya usingizi alijikuta akimchukuwa mjukuu wake Mayasa  na kumtupa dirishani na hatimaye abiria wakaanza kumpiga  na kuamuru basi lisimame na kumtafuta mtoto huyo.

0 Response to "LOOOH!! ALIYETUPA MTOTO NJE YA BASI LILILOKUWA KASI NI PEPO!!!! "

Post a Comment