Maua na midoli ikiwa jirani na nyumba yalipotokea mauaji hayo. |
Mamlaka nchini Australia imemfungulia mashitaka ya mauaji ya watoto nane, Mersane Warria (37) aliyewaua watoto 8, wanaye 7 na 1 mpwa wake, jijini Cairns juzi, Ijumaa!
Miili ya watoto hao iligunduliwa na mama mmoja aliyefika nyumbani hapo (juzi) Ijumaa asubuhi.
0 Response to "MAMA MZAZI AWACHINJA WATOTO WAKE 8!!!!! FADHAA YALIKUMBA JIJI...!!!!!!"
Post a Comment