Wasanii zaidi ya 30 wa Bongo wameshafariki ndani ya miaka 3 mfululizo |
Wakati huohuo, taarifa zilizotufikia zinasema kuwa, yule mchungaji aliyewahi kutabiri vifo vya wasanii wawili wa filamu na Bongo Fleva ametabiri vifo zaidi, “Natabiri tena vifo vya wasanii nchini. Kwamba, hadi kufikia Februari mwakani (2015), wasanii wawili watapoteza maisha.
“Lakini ili kukwepa mauti wasimame katika roho wakimwomba sana Mungu na kutoa sadaka bila kusahau kuwasaidia yatima na wazee.”
Naye mtabiri maafuru nchini, Maalim Hassan Hussein Yahya amesema roho ya mauti kwa wasanii ipo inazunguka, itafanya kazi hiyo kufikia Aprili mwakani.
Tunasema; R.I.P wasanii wetu!
USIACHE KUWATUPIA JICHO TENA WASANII WETU WALIOTUTOKA HAPA...
Tunasema; R.I.P wasanii wetu!
USIACHE KUWATUPIA JICHO TENA WASANII WETU WALIOTUTOKA HAPA...
0 Response to "KWA MIAKA 3 TU ILIYOPITA WASANII ZAIDI YA 30 WAMEPOTEZA MAISHA... SABABU ZAANIKWA HAPA..."
Post a Comment