ZA UKWELI SANA

MAGARI SABA YATEKWA; MAJAMBAZI YAKUSANYA VILOBA VYA FEDHA NA SIMU; UBAKAJI WA KUTISHA!!!

Magari saba yatekwa Mwanza
Roho mkononi! Jumla ya magari saba yakiwemo mabasi mawili ya abiria, Super Najmnisa na Princess Mnaa yaliyokuwa yakitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Mwanza, yametekwa na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi usiku wa kuamkia Jumamosi ya wiki iliyopita, saa 6:30 usiku eneo la Ng’ungumalwa mkoani Mwanza.

Watekaji walitegesha mawe makubwa barabarani kabla ya kutekeleza tukio hilo. Waliwanyang'anya watu fedha, simu na mali nyingine huku wakiwapiga vibaya baadhi ya watu walioleta ukaidi na hata kuwabaka baadhi ya wanawake.
credit: GPL.
SOMA MABADILIKO MAKUBWA YAINYEMELEA MISS TZ... NI BAADA YA MAJANGA KUMLEMEA LUNDENGA "ANKO"!!!

0 Response to "MAGARI SABA YATEKWA; MAJAMBAZI YAKUSANYA VILOBA VYA FEDHA NA SIMU; UBAKAJI WA KUTISHA!!!"

Post a Comment