ZA UKWELI SANA

KIJANA WA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA KENYA RAILA ODINGA AAGA DUNIA..........SOMA ZAIDI.

KIJANA WA  ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA KENYA RAILA ODINGA  AAGA  DUNIA..........SOMA ZAIDI.

Fidel Odinga mwana wa  aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga amepatikana akiwa amefariki nyumbani kwake huko Karen.

MAAJABU: BAADA YA KUKAA SIKU 15 MAJINI MWILI WA MTOTO WAOKOTWA MZIMA!!!!!

Mwili wa mtoto uliookotwa baada ya siku 15 haujaharibika

NI KISA CHA HUZUNI CHENYE KUSTAAJABISHA PIA.... MTOTO wa miaka sita, Bernard Benjamin ambaye alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamunge, wilayani Ilemela jijini Mwanza, amesombwa na mafuriko na mwili wake kukaa siku kumi na tano bila kuharibika.

INGIA HAPA KUPATA KISA KIZIMA CHA KUHUZUNISHA

TWENDE HAPA GWARIDE LA PAMBA: UNMPA YUPI TICK KWA KUJUA KUTUPIA???? KAGUA PICHAZ KWANZA...

pigia kura chaguo lako
PICHA ZA WAKALI HAWA KATIKA MITOKO TOFAUTITOFAUTI HAPA
...PICHA YA KWANZA.
... PICHA YA PILI..
. PICHA YA TATU....

KWA MIAKA 3 TU ILIYOPITA WASANII ZAIDI YA 30 WAMEPOTEZA MAISHA... SABABU ZAANIKWA HAPA...

Wasanii zaidi ya 30 wa Bongo wameshafariki ndani ya miaka 3 mfululizo
MAISHA YA WASANII YAMEENDELEA KUPUTIKA.... NDANI YA MIAKA 3 MFULULIZO WAMEONDOKA ZAIDI YA 30!!!!
Wakati huohuo, taarifa zilizotufikia zinasema kuwa, yule mchungaji aliyewahi kutabiri vifo vya wasanii wawili wa filamu na Bongo Fleva ametabiri vifo zaidi, “Natabiri tena vifo vya wasanii nchini. Kwamba, hadi kufikia Februari mwakani (2015), wasanii wawili watapoteza maisha.
“Lakini ili kukwepa mauti wasimame katika roho wakimwomba sana Mungu na kutoa sadaka bila kusahau kuwasaidia yatima na wazee.”
Naye mtabiri maafuru nchini, Maalim Hassan Hussein Yahya amesema roho ya mauti kwa wasanii ipo inazunguka, itafanya kazi hiyo kufikia Aprili mwakani.
Tunasema; R.I.P wasanii wetu!
USIACHE KUWATUPIA JICHO TENA WASANII WETU WALIOTUTOKA HAPA...

DIAMOND NYIE ACHENI TU...!!! ALIYOYAFANYA DAR LIVE NI KIGUGUMIZI!!!! TWENDE HAPA...

Diamond akikamua Dar Live
SHOO aliloangusha mwanamuziki mkali Afrika, Nasib Abduli, 'Diamond Platinumz' imeacha vigugumizi baada ya watu kukosa maneno ya namna ya kuielezea!!! Nasi tunaona tukurushie picha walau upate sehemu ya uhondo huo mkali.
.. PICHA YA 1... PICHA YA PILI... PICHA YA TATU.
.. PICHA YA NNE... PICHA YA TANO
...

KUMEKUCHAAA!!!!... SIKU MOJA BAADA YA KUTIA MGUU IKULU.... DIAMOND APAFUKUZIA!!!!! ONA ....

Rais Kikwete na Nasib Abdul "Diamond"
Haya sasa lisemwalo likichelewa ni dakika sifuri….Kijana wetu anayetamba kimataifa sasa katika muziki Nasib Abdul ‘Diamond Platinumz’ siku moja tu baada ya kutia mguu ikulu naye ametamani kuwa humo!!!!!!!!!!! Lol!!!!!!!!

Kutimiza azma hiyo, kijana huyo asiyekata tamaa sasa kuchukua fomu za ubunge (jimbo kapuni) mwaka 2015, yaani mwaka unaoingia wiki ijayo!!! …. Sababu bado nyingine zimo humu ….YA KWANZA…. YA PILI . YA TATU…. YA NNE…. YA TANO

SASA JIANDAENI KUWA NA NEW FIRST LADY KILA MWEZI!!!!!

LOOOH!! ALIYETUPA MTOTO NJE YA BASI LILILOKUWA KASI NI PEPO!!!!

 
mama amtupa mtoto nje ya basi na kumuua
Mtoto mmoja mwenye umri wa miaka Sita amefariki dunia baada ya kutupwa na bibi yake nje ya basi kupitia dirishani wakati basi likiwa katika mwendo wa kasi mkoani Singida.


Akieleza jinsi alivyomtupa mjukuu wake, Lawaridi Saidi  ambaye ni mkazi wa  Kongowe jijini Dar amesema baada ya kuamka akiwa katika hali ya usingizi alijikuta akimchukuwa mjukuu wake Mayasa  na kumtupa dirishani na hatimaye abiria wakaanza kumpiga  na kuamuru basi lisimame na kumtafuta mtoto huyo.